Wednesday, February 1, 2012

WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA TUMAINI WAMALIZA MITIHANI


wanafunzi wa chuo kikuu cha tumaini katika fakati mbali mbali za mawasiliano ya umma, information management  katika kampusi ya mikocheni jijini dar es salaam wamemaliza leo miatini yao ya kumaliza msemista ya kwanza,ambapo watafunga  chuo kwa takribani mwenzi mmoja.

wakiongea kwa nyakati tofauti kuhusu kumalizika kwa mitiani hiyo hususani wanafunzi wa mwaka wa tatu wamesema kuwa utakuwa wakati mwafaka kwa wao kumariza research zao kwa wakati kwani kwa wakati walikizo watakuwa na mda mzuri wa kumaliza hizo research tofauti na kipindi ambacho walikuwa na vipindi darasani kwani mara nyingi walikuwa bize na masomo ya darasani