Wednesday, January 11, 2012

WALIOFISADI FEDHA ZA TUSODARCO WAWAJIBISHWE



Wanafunzi katika chuo cha Tumaini kampasi ya mikocheni jijini Dar es salaam wamesema viongozi wa serikali ya wabnafunzi (TUSODARCO)waluiofisadi fedha za wanafunzi wawajibishwe mara moja bila kusita.

Wamesema kwakuwa ufisadi nikitendo ambacho si cha kiungwana na wala si cha heshima na kinarudisha maendeleo nyuma hivyo basi viongozi wote ambao kamti teule iliyoteuliwa kuchunguza sakata hilo la ufisadi ambayo imebaini ubadhilifu wa fedha inabidi wajiuzuru ikiewemo rais wa serikali hiyo,pia fedha ziludishwe kwenye serikali

Hivi karibuni kamati hiyo ambayo iliteuliwa na bunge la wanafunzi baada ya uchunguzi waligundua ubadhilifu wa fedha za wanafunzi zilizo ntumika katika sherehe za kuwakaribisha mwaka wa kwanza chuoni kuwa zaidi ya milioni mbili zimetumika sivyo ndivyo nakuacha hali ya sinto fahamu kwani hazijulikani fedha hizo zilivyotumika amnbapo katika tuhuma hizo waziri wa michezo suleimani adam alijiuzuru.

 agnesshija@yahoo.com


















No comments:

Post a Comment